X
DARUBINI YA WIKI

DARUBINI YA WIKI

Wapenzi wa Jimbotv: Unaposhuhudia Tukio Lolote Ambalo Ungependa Liangaziwe Katika Chumba Chetu Cha Habari,Usisite kuwasiliana Nasi Kupitia Nambari; **********5133         au 0702217981 Na Tutaliangazia kwenye Darubini ya wiki. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Skills Empowerment.

Skills Empowerment.

Tunakila Sababu Yakushukuru Mungu Kwa Hii Hatua Mungu Ametufikisha,Leo Tumepata Mafunzo Ya Kuboresha Kazi Zetu. Tumefunzwa Yafwatayo, 1.Jinsi Ya Kutumia Camera. 2.Jinsi Ya Kufanya Mahujiano. 3.Jinsi Ya Kutumia Mtandao. Mafunzo Haya Yamedhaminiwa na kampuni Ya Madini Base Titanium Kwa Ushirikiano wa On Point Media Kutoka Nairobi. #JimboTv.#StayUpadated.#OnPointMedia.
TEAM JIMBO

TEAM JIMBO

Kila Leo Tunazidi Kujiboresha katika Kazi Zetu ili Tukuridhishe wewe Shabiki Mpendwa. Kupitia Kampuni Ya Madini Base Titanium Tumepata Nafasi ya kupokea Mafunzo Ya Kuboresha Kazi Zetu,Mafunzo Hayo Yamefanya na #OnPointMedia. #TeamJimbo2020.#BaseTitanium. #OnPointMedia.

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support